A Ahmad Mtumbi Senior Member Joined Jun 11, 2012 Posts 106 Reaction score 30 Apr 8, 2014 #1 karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu. Pia tunapokea oda Kwa maelezo zaidi nicheki ktk 0754545163.
karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu. Pia tunapokea oda Kwa maelezo zaidi nicheki ktk 0754545163.
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Apr 8, 2014 #2 Weka sample ya kazi yako. Biashara na matangazo ya picha banaaa
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,315 Reaction score 16,762 Apr 8, 2014 #3 Kingmairo said: Weka sample ya kazi yako. Biashara na matangazo ya picha banaaa Click to expand... na afanye kama ulivyomshauri mkuu!na watu wote watamuamini kwa picha zake...sema amina!
Kingmairo said: Weka sample ya kazi yako. Biashara na matangazo ya picha banaaa Click to expand... na afanye kama ulivyomshauri mkuu!na watu wote watamuamini kwa picha zake...sema amina!
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Apr 8, 2014 #4 Hajitmbui hasemi ata yuko wapi myb ni visiwa ukerewe au,sofa kutoka nje au anaztengeneza mwenyew? halaf unataka wateja kutoka wap sasa hata picha hujaweka
Hajitmbui hasemi ata yuko wapi myb ni visiwa ukerewe au,sofa kutoka nje au anaztengeneza mwenyew? halaf unataka wateja kutoka wap sasa hata picha hujaweka
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Apr 8, 2014 #5 Zamaulid said: na afanye kama ulivyomshauri mkuu!na watu wote watamuamini kwa picha zake...sema amina! Click to expand... Amina mkuu!
Zamaulid said: na afanye kama ulivyomshauri mkuu!na watu wote watamuamini kwa picha zake...sema amina! Click to expand... Amina mkuu!