sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,554
- 868
Note 4 Kwa sasa hatuna tuna note 5 GB32 bei 530,000samsung note 4 bei gani?
Hizi wafanya biashara Wa Huku wanachukua ambazo zinakuwa Na frequency za Huku so msiwe na waswasMarekani na Canada wanatumia Frequency Bands tofauti na Europe. Sisi Africa (including Tanzania) tunafata standards za Europe. Hivo ukinunua simu kutoka Marekani tegemea kuja kuiweka droo ya kitanda kwa kuwa incompatible na frequency bands zetu.
Rafiki zangu wengi nawajua wameletewa simu na wazungu wa Trump wamezitupa kabatini tu.
Unaponunua kule uwaekeze unatska international version mi ninayo grand prime ya akina Trump iko poa tatizo ni SIm Card ile ndogo ya halotel ilibidi niichonge tena ili iingie kwenye slot vinginevyo iko poaMarekani na Canada wanatumia Frequency Bands tofauti na Europe. Sisi Africa (including Tanzania) tunafata standards za Europe. Hivo ukinunua simu kutoka Marekani tegemea kuja kuiweka droo ya kitanda kwa kuwa incompatible na frequency bands zetu.
Rafiki zangu wengi nawajua wameletewa simu na wazungu wa Trump wamezitupa kabatini tu.
[emoji120]Unaponunua kule uwaekeze unatska international version mi ninayo grand prime ya akina Trump iko poa tatizo ni SIm Card ile ndogo ya halotel ilibidi niichonge tena ili iingie kwenye slot vinginevyo iko poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nokia 7.1 bei gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
S9+ bei 1,450,000 gb64S9 +
S 8 +
Unazo? Bei gani?