Jipatie simu za Samsung na Iphone original

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Posts
1,553
Reaction score
865
Karibuni Sana Kwa SIMU za Samsung na IPhone original kutoka USA Kwa gharama nafuu kabisa tutakutumia Kwa uaminifu mikoani
Piga 0766-195115
Email :sirajimsilanga55@gmail.com
Karibuni Sana.
IMG-20190409-WA0001.jpeg
IMG-20190409-WA0005.jpeg
IMG-20190409-WA0008.jpeg
IMG_20190409_102841_754.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani na Canada wanatumia Frequency Bands tofauti na Europe. Sisi Africa (including Tanzania) tunafata standards za Europe. Hivo ukinunua simu kutoka Marekani tegemea kuja kuiweka droo ya kitanda kwa kuwa incompatible na frequency bands zetu.
Rafiki zangu wengi nawajua wameletewa simu na wazungu wa Trump wamezitupa kabatini tu.
 
Hizi wafanya biashara Wa Huku wanachukua ambazo zinakuwa Na frequency za Huku so msiwe na waswas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani na Canada wanatumia Frequency Bands tofauti na Europe. Sisi Africa (including Tanzania) tunafata standards za Europe. Hivo ukinunua simu kutoka Marekani tegemea kuja kuiweka droo ya kitanda kwa kuwa incompatible na frequency bands zetu.
Rafiki zangu wengi nawajua wameletewa simu na wazungu wa Trump wamezitupa kabatini tu.
Unaponunua kule uwaekeze unatska international version mi ninayo grand prime ya akina Trump iko poa tatizo ni SIm Card ile ndogo ya halotel ilibidi niichonge tena ili iingie kwenye slot vinginevyo iko poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nokia 7.1 bei gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom