Jipatie shamba lenye rasilimali za ziada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie shamba lenye rasilimali za ziada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NSAMY, Jul 25, 2011.

 1. N

  NSAMY New Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi linauzwa. Lipo km 6 kama ukitokea makabe, Morogoro Road au km 8 kupitia mbezi mwisho. Lina faida zifuatazo:- banda unaloweza kufugia ng'ombe, bonde zuri unaloweza kulima mpunga au mbogamboga, kuna minazi na miembe. Mauzo yatasimamiwa na Nsamy Real Estate and General Suppliers Ltd na si madalali wasiosajiliwa. Bei ni shilingi milioni 120, mazungumzo yanaruhusiwa. Kwa maelezo zaidi piga 0786 046 484, email gmwiga@yahoo.com. Karibu.
   
 2. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hali mbaya bwashe kula 5milion now if posible maana umeme unatupa shida kweli huku vip 120mil
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi mbezi kunamashamba tena?manake mie navyoelewa ni mji sasa hivi na umeshakuwa surveyed na serikali,au mkuu umeambiwa hilo shamba ni Hospitali nini?kwenye master plan,ukaamua uuze fasta tujuze bwana.
   
Loading...