Jipatie shamba lenye rasilimali za ziada

Jipatie shamba lenye rasilimali za ziada

NSAMY

New Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi linauzwa. Lipo km 6 kama ukitokea makabe, Morogoro Road au km 8 kupitia mbezi mwisho. Lina faida zifuatazo:- banda unaloweza kufugia ng'ombe, bonde zuri unaloweza kulima mpunga au mbogamboga, kuna minazi na miembe. Mauzo yatasimamiwa na Nsamy Real Estate and General Suppliers Ltd na si madalali wasiosajiliwa. Bei ni shilingi milioni 120, mazungumzo yanaruhusiwa. Kwa maelezo zaidi piga 0786 046 484, email gmwiga@yahoo.com. Karibu.
 
hali mbaya bwashe kula 5milion now if posible maana umeme unatupa shida kweli huku vip 120mil
 
Hivi mbezi kunamashamba tena?manake mie navyoelewa ni mji sasa hivi na umeshakuwa surveyed na serikali,au mkuu umeambiwa hilo shamba ni Hospitali nini?kwenye master plan,ukaamua uuze fasta tujuze bwana.
 
Back
Top Bottom