Nilifikiri sijaelewa peke yanguFree WIFI una maanisha nini?
apa neno free limetumika vibayaFree WIFI una maanisha nini?
mh![]()
Hii inatofauti gani na ya kwako?
hiyo ni 3G mkuu ukitaka kuhakikisha fungua kifuniko chake then toa battery angalia utaona kuna sehemu wameandika 3G WiFi.hyo kusema ni 4g ni wakuvutie.ninazo pia naziuza
Tsh.60,000