Jipatie mashine mbalimbali kwa bei rahisi.

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Kampuni ya Chinaworldbuz Company (CWB) inakuletea mashine nzuri na za kisasa kwa bei nafuu! Nunua eggs incubators, car wash trolleys, CD duplicators, sugar and salt granule packaging machine kwa bei nafuu sana!
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia justineluvanda@gmail.com, +8613524159707, na kwa simu na whatsapp, pia unaweza nipata kwa skype kwa jina jluvanda
Nyote mnakaribishwa, New attempts, New possibilities!
 

Mipangomingi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,712
2,000
Kama mshiko upo hebu nenda japo short course ya Marketing basi. Siku hizi muda umekuwa mchache wa kuanza kubishana kwenye email na huku Vodacom wamepandisha gharama za kupiga simubila kusahau simu zetu hazisapoti whatsaap na skype. Boresha tangazo lako kwa kuanika kila kitu "full specifications" ya bidhaa zako pamoja na bei yako. Kimsingi binafsi sioni sababu za kuficha bei za bidhaa kwa wauzaji kwani afterall bei ni kwa mnunuzi si kwa muuzaji-unaificha ili iwe nini? Ushauri tu mkuu usije ukaja juu!
 

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Nyongeza tu kama mdau hapo juu, weka bei hadi kumfikia mnunuzi hapa Dar au kwingine ni kiasi gani kwa kila bidhaa ulizonazo
 

19don

JF-Expert Member
May 13, 2011
672
250
Kampuni ya Chinaworldbuz Company (CWB) inakuletea mashine nzuri na za kisasa kwa bei nafuu! Nunua eggs incubators, car wash trolleys, CD duplicators, sugar and salt granule packaging machine kwa bei nafuu sana!
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia justineluvanda@gmail.com, +8613524159707, na kwa simu na whatsapp, pia unaweza nipata kwa skype kwa jina jluvanda
Nyote mnakaribishwa, New attempts, New possibilities!

hii no ya vodacom, tigo ,airtel au zantel
ukizima simu nani aje huko ulipo?
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,715
2,000
Eggs incubator ni bei gani?nijuze tu kuupitia hapa ili na wengine wajue..
 

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,006
2,000
nafikiri mtoa tangazo hili kaagizwa na mtu wala sio yeye anapaswa kufanya kazi hii; nasubiri atoe majibu ya maswali yaloulizwa ili tuone la kufanya.
 

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,141
2,000
ni vyema uweke contacts za hapa bongo pia. kwani kampuni yenu haina ka ofisi bongo?
 

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Ndugu wapendwa! Nafurahi kuwapa taarifa kua tuna eggs incubators za aina tofauti tofauti kwanzia yenye uwezo wa kutotolesha mayai 50-8900 kwa wakati mmoja. Kwahiyo inakua ni vigumu kuweka specifications za catalogue zote za mashine hizo tulizo nazo! Kama unahitaji hizo catalogue tafadhali nitumie message ya email address yako kupitia hii number na nitakutumia catalogue hiyo. Hivyo hivyo katika CD duplicator tunazo kuanzia yenye uwezo kutoa CD 2-mpaka CD 12 kwa wakati mmoja na maelezo yakina yote yanapatikana katika catalogue ambazo zimeandaliwa na kampuni yetu. Kuhusu number ya simu, kwa sasa makao makuu ya kampuni yetu ni Shanghai -China kwahiyo hiyo number ni ya China pia unaweza kutupata kwa whatsapp. Januari 15 2014, Tutakua Tanzania kufungua ofisi zetu pale Ushirika Tower, Mnazi mmoja Dar -es -Salaam. Pia tunakukaribisha kwenye semina za biashara na ujasiriamali tutakazozifanya kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya na Arusha kuanzia January -February, tafadhali fika bila kukosa ili uweze kuonana na team ya CWB.
Nakutakia siku njema.
 

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai kwa Lengo la kuifikia jamii ya wafanyabiashara wa Tanzania na Africa kiujumla watakao kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoka nje ya nchi (hususani China) kwa ajili ya kuboresha biashara zao.Kutokana na kuwa na changamoto nyingi zinazowapata wafanyabiashara wa Tanzania katika nyanja za kukataliwa kibali cha kuvuka mipaka(VISA REJECTION), ugumu wa lugha ya kichina( LANGUAGE BARRIER),kupata bidhaa bandia (FAKE GOODS)katika masoko madogo madogo ndani ya China na pia kukosa mahusiano ya moja (DIRECT LINK) na viwanda vitengenezavyo bidhaa mbali mbali nchini China. CWB ni njia sahihi ya kuweza kuboresha biashara yako bila kukutana na changamoto tajwa hapo juu, ni rafiki mwema wa biashara yako, ni njia sahihi ya kuweza kutimiza ndoto zako katika uwanja huu wa biashara. CWB,Tunatoa elimu ni jinsi gani ya kufanya kazi na sisi, tuna toa ushauri ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya kulingana na mtaji wake, tunatoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zetu zote tuzitoazo mfano simu, tablets,nk. Kwa Sasa makao makuu ya ofisi za CWB yapo jijini Shanghai na ifikapo January 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Ushirika Tower jijini Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu www.chinaworldbuz.com pia unaweza wasiliana nami kwa email juely2006@yahoo.com au justineluvanda@gmail.com, simu namba +8613524159707.Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.Asanteni.
 

cha'

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
466
195
Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.

ni mategemeo yangu kampuni yenu itaongeza tija kwa wajasiriamali wengi wa Afrika, ila utanisamehe umri umenitupa mkono kidogo, hivyo kushindwa kuelewa vitu vichache vya msingi,
i. Mnamiliki viwanda china?
ii. Mnamiliki maduka huko?
ii. Ni wajasiriamali wa kati mnaokufahamu na kuifahamu biashara ndani ya china vizuri?
Karibuni ushirika.
 

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Ndugu mpendwa, kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kampuni hii inamiliki viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini, bidhaa za madukani aina zote kwa matumizi mbalimbali. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB ni mwakilishi wa viwanda vingi nchini China na imebeba ujumbe wa viwanda hivyo kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za CWB (itakayofunguliwa Januari 2014) kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, justineluvanda@gmail.com, au shafiihamisi@gmail.com. Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya www.chinaworldbuz.com

KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom