Jipatie Logo au Label + Ofa ya bure ya design za letterhead, biz Card & invoices

mkuu kuna haja ya kuwa na logo mbali mbali kwa kila huduma mf baresa anatumia logo tofaut ktk kila huduma usafir,vinywaji nk au moja tu yatosha ktk huduma zote...........kwa maulizo mengine ni iv kuna main logo na sub logo?
 
Mkuu hata kama Nataka YA kynitambulisha.. Mm myb niwekee Kwenye nguo zang... Na vitu vinavyonihusu inawezekana
 
Je ili kuandaa logo yangu utahitaji information gani za kampuni yangu? Je unatoa business card na headed letter pia? ? Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…