Jipatie laptop mpya na used,pia simu za brackbery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie laptop mpya na used,pia simu za brackbery

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tonny03, Oct 13, 2011.

 1. t

  tonny03 Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunapatikana dsm,mawasiliano piga 0717 01 26 56.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kweli biashara ngumu, sasa tukupigie ili iweje?
  Weka mali hapa na specs zake na bei, na picha moja hivi ya kuvutia then wanunuzi tushawishike tukupigie simu baada ya kuona bidhaa.
  Mbona mnafanya biashara ki-local namna hii?
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  MAmbo ya kizamani acha mkuu!!

  Weka kila kitu hapa, ili kuchuja wanunuzi. Weka picha za bidhaa zako, specs, ect Haya mambo ya kupokea simu elfu moja halanu wananunua wanne!! Ni uzamani...
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa. Weka picha ikibidi na range ya bei zake.
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Biashara sio ya Manzese

  Weka all specs na utuambie hizo simu mpya za brackbery nchi gani inazitengeneza
   
 6. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  inawezekana bidhaa zako zinatoka kwa hao jamaa wa macho madogo ndo maana hutaki kuweka hata spcs.
   
Loading...