msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,423 Reaction score 3,266 Jan 29, 2018 #21 Claudio Mpili said: Kuku wa sasso wao ni wakubwa zaidi na wanataga sana kuliko malawi. Faida kwa ujumla ni sasso maana wana soko pia kama utawauza kwa nyama Click to expand... acha uongo wa ikulu wewe sasso hataweza kamwe kutaga kuzidi malawi sema tu ukweli kwamba sasso ni best kwenye minofu na Malawi ni bora kwenye kutaga basi
Claudio Mpili said: Kuku wa sasso wao ni wakubwa zaidi na wanataga sana kuliko malawi. Faida kwa ujumla ni sasso maana wana soko pia kama utawauza kwa nyama Click to expand... acha uongo wa ikulu wewe sasso hataweza kamwe kutaga kuzidi malawi sema tu ukweli kwamba sasso ni best kwenye minofu na Malawi ni bora kwenye kutaga basi