Jipatie KIWANJA kwa bei ya OFFER

Genchi

Member
Aug 19, 2014
94
45
Mahali;
DAR kilwa road,mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa(chatembo)

Ukubwa;
Ft 50×50

Bei;
2.000.000 - milion mbili
Umeme,maji na barabara vipo!

Mawasiliano;
0714 775566
0683 775566
28ddb34125b3de9cf3330ed7d8a441de.jpg
4f82e3c994b845a9ef9e58184bd00ad7.jpg
 
HIVI HUWA KUNA LOGIC GANI YA MTU KUPMA KWA FUTI BADALA YA MITA KAMA TULVYOZOEA AU NI KUWACHANGANYA WASIOJUA WAINGIE MKENGE WAKDHAN NI MITA UPUUZ HUU AISEE.
 
Mkuu mbona hapa hakuna dalili ya umeme, maji wala barabara?
 
HIVI HUWA KUNA LOGIC GANI YA MTU KUPMA KWA FUTI BADALA YA MITA KAMA TULVYOZOEA AU NI KUWACHANGANYA WASIOJUA WAINGIE MKENGE WAKDHAN NI MITA UPUUZ HUU AISEE.
Mkuu kama unahis kuwa utapel ni busara ukakaa kimya,,ww endelea kufikiria hivyo wenzio wananunua!!
Kama una maahaka kuona site ni bure nauli ni 600 kutoka mbagala
 
Unataka kununua bila kukiona "fizikale"
Utakuwa si wa nchi ya dunia hii!!!
 
Kwa anayehitaji kuuliza au kuona au kufahamu chochote kuhusu hivyo viwanja,,
Contact zipo juu hapo !!
Sms zinajibiwa
 
Mkuu kama unahis kuwa utapel ni busara ukakaa kimya,,ww endelea kufikiria hivyo wenzio wananunua!!
Kama una maahaka kuona site ni bure nauli ni 600 kutoka mbagala
Hizo mita 15 kwa 15, ni kwa matumizi gani mzee? Wewe unaendeleza umaskini tu!. Watu wakijenga hapo wataishi maisha gani? watalea watoto wao namna gani? Miundombinu itapita wapi? Nidyo ninyi mnatengeneza squatters watu wanapoanika nguo wanatazamana na choo cha mtu mwingine.

Au watu wako sebureni maji taka ya nyumba nyingine yanaingia kwao. Fanya bmiashara na mtazaomo wa maendeleo hata kama ni mbagala kwenye uswahili asilia. Lakini usiendeleze mambo yasiyo tija.

Watu kam awewe mnaharibu miji na maisha ya watu. Ndiyo sababu watu wanapakimbia huko mbagala. Inabidi mipango miji wakudhibiti mipango miouvu kama hii.
 
usiongee usiyoyajua wewe, mwandege haipo mbagala. mwandege ni wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani, kama lengo ni kukosoa ukubwa wa kiwanja sawa, ila usidanganye watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom