Jipatie Infinix Note 3 kwa bei nafuu kabisa!

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,747
Habari wana JF!

Leo nimeona niwaletee simu ya infinix NOTE 3! Ni simu niliyoitumia kwa miezi minne tu!

Sifa kubwa ya hii simu ni kukaa na chaji, so far imezipiku simu nyingi katika hii nyanja!!

Pia ina support fast charging, inajaa chaji ndani ya muda mfupi sana!

Ina finger print kwa ajili ya usalama/password!

Ina camera yenye 13MP na front camera yenye 5MP zote zina flash light!

Memory ya ndani ni 16GB

RAM ni 2GB!
1.jpg

3.jpg
IMG_20170720_184916.jpg

Na inapatikana kwa 310,000/= Tshs!! Maelewano yapo!

Iko katika hali nzuri sana maana mda wote imetumika ikiwa na cover na screen protector!!

Nauza kwasababu nna simu ingine kama hii!!

Mawasiliano: 0625760188 (Text + calls)!

Karibuni!!
 
View attachment 546854

View attachment 546809 View attachment 546814

Na inapatikana kwa 310,000/= Tshs!! Maelewano yapo!

Iko katika hali nzuri sana maana mda wote imetumika ikiwa na cover na screen protector!!

Nauza kwasababu nna simu ingine kama hii!!

Mawasiliano: 0625760188 (Text + calls)!

Karibuni!!
Wewe si unaishi Moshi muda wote?
Si una ofisi yako ya kukodisha vifaa vya mlima?
Kama ndio njoo PM uniuzie simu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom