Nimekuelewa bt nia yangu ilikuwa kukamilisha sasa katika kupost nikawa nipost nusu samahani kwa usumbufu uliojitokeza bossKamilisha tangazo ili kupunguza maswali sio kila mtu akupigie simu wakati hakuna ulazima.
Weka details za kutosha Friji iwe na taarifa zake zilizokamilika, mpya? Imetumika muda gani?
Upo sehemu gani?
Option kwa Wateja walio mbali nawewe una utaratibu gani na mambo mengine ya msingi.
Usifanye biashara kisela hutauza hapa ni jamiiforums sio Facebook
Napatikana kunduchi line police ndipo ofisi zangu zilipo.Nimekuelewa bt nia yangu ilikuwa kukamilisha sasa katika kupost nikawa nipost nusu samahani kwa usumbufu uliojitokeza boss
Kiongozi hii brand ya Beko iko poa ukilinganisha na Boss?Nataka freezer 400ltrs. Brand BEKO