hahahahahaaIzi ni special kwa wanaume wa dar..wa mikoani wao uvaa pensi za kuchezea mpira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
Mkuu zinag'aa ndio ni sababu ya upya tu, lkn ni real cotton angalia yenye maua post 3....af ukigusa utajua nachokisema Mkuu ... trust me