Tulia ndugu yangu, ninachoongelea sina maaha wewe tu, kuna wengi huwa hawaweki baadhi ya mambo kwa uwazi, na kwa bahati nilivyohoji umekuja na hili kwamba unajitolea for funny kwa punguzo kubwa. Pengine wengine ukiweka wazi inasaidia maana ulimwengu wa leo watu wanapima mambo kwanza kabla ya kuchukua uamuzi.
Nakupongeza kwa jitihada zako, endelea kusaidia wenye hitaji hilo kwani kuna baadhi wenye kujua mambo huwa hawako tayari kuwasaidie wengine.