Jipatie bando la Tigo

Jipatie bando la Tigo

ngong'0

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
49
Reaction score
46
Pata bando dk 600 mitandao yote+3000sms+3GB mwezi mzima sh elfu 30 ( 0715387684)popote ulipo unapata
 
Nyie mnaangalia gb tu dk huonii na sms au mnawasiliana na GB tu wadau
 
Ofa kama hii kuna jamaa alikuwa ananiunga kwa buku 10 tigo na ni dkka 1200 na voda buku 10 dk 600..believe it or not, sasa wewe unataka ujenge au?
 
Sasa ninunue 3gb kwa 30,000?
Hata kama hizo hela nimeshinda Biko.

Hiyo midakika ya kazi gani sasa?
 
Hio offer haiendani na kasi ya matumizi yetu ya sasa ya mitandao.
 
Back
Top Bottom