tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari zenu wapendwa.
Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500
Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana.
Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158View attachment 946169
Nipo kimara korogwewapatikana wapi mkuu
wapatikana wapi mkuu
KaribuNimeupenda
Hivi Dada siwez pata harufu yake hapa!!!?[emoji848]Habari zenu wapendwa.
Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500
Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana.
Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158View attachment 946169
MzuriHabari zenu wapendwa.
Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500
Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana.
Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158View attachment 946169
Huwa sipendagi wateja dizain kama wewe kwenye biashara yangu.. Utanusaje chakula bhana.. Kama hauridhiki nao kwa macho basi achananao...Hivi Dada siwez pata harufu yake hapa!!!?[emoji848]
Mchele bila kuushika na kunusa bado sijaridhika.
Hivi Dada siwez pata harufu yake hapa!!!?[emoji848]
Mchele bila kuushika na kunusa bado sijaridhika.
Hajasema hanunui, taratibu povu la niniHuwa sipendagi wateja dizain kama wewe kwenye biashara yangu.. Utanusaje chakula bhana.. Kama hauridhiki nao kwa macho basi achananao...
Soma vizuri quote yanguHajasema hanunui, taratibu povu la nini
Wapi upoHabari zenu wapendwa.