Jiongeze

mlukosi

Member
Sep 10, 2013
53
18
Mziki unaanzia paleeee tumayai hatupiti kwenye koo,tumaini,turost rost,tukababu,pale kahoma kamekuchapa unahisi mwili na roho kutengana,ndo hapo akili yako inapofanya kazi kuliko uwezo wake,kumbukumbu za wale unao wachukia bila sbb,unaowanunia bila sbb,huwapendi bila sbb,unawafanyia fitina,unawachonganisha kisa wewe unamchukia yule bila sbb basi unataka nao wamchukie,sauti ya uchungu ikikutoka mara jamani naomba nitafutieni Astron nimuombe msamaha mara niitieni Mama Vane,mara sijui niitie nani na nani,pole unakumbuka shuka wakat kushakucha,unaomba msamaha kwa kiki ya matatizo au maradhi,huo ni msamaha wa kinafiki je ungekufa ghafla ungeomba msamaha saa ngapi?acha unafiki kama kweli unajua makosa yako,na unajutia akili yako mbovu ,uliyokuponza unune nune bila hofu ya mungu,omba msamaha ....apo nitakuelewa,lkn msamaha wa kushikiwa akili na matatizo,uwo wapelekee wenye akili ka zako....NIMEMALIZA
 
Dah!! Ilibidi nisome kibishi hivo hivo mpaka mwisho, hapa ukiwa na akili ya mwendo kasi utatoka kapa tu eee maana hakuna namna sasa!!!
 
Dah!! Ilibidi nisome kibishi hivo hivo mpaka mwisho, hapa ukiwa na akili ya mwendo kasi utatoka kapa tu eee maana hakuna namna sasa!!!

pole sana mkuu.....imenibidi tu. vyema kama umeelewa
 
Back
Top Bottom