mufiyakicheko= mfia kicheko
Mambo ya facebook nini haya!</p>
<p> </p>
<p>Nimependa sana ainisho lake la amani na utulivu!</p>
<p>Uwoga wa WATANZANIA NDIYO UNAOFANYA Tanzania IONEKANE KUWA NA Amani sana!</p>
<p>By the time tutaamka, sijui kutakuwa kumebakia nini hazina!
Mambo ya facebook nini haya!
Nimependa sana ainisho lake la amani na utulivu!
Uwoga wa WATANZANIA NDIYO UNAOFANYA Tanzania IONEKANE KUWA NA Amani sana!
By the time tutaamka, sijui kutakuwa kumebakia nini hazina!
ofcoz kaonyesha hisia lakini dah...unaweza kufikiri huyu ni m-mang'ati!!
Originally Posted by Mufiyakicheko
amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki wanakufa kwamalelya mlo mmoja kwasiku wanakosa elim hukuwachache wanapeleka watoto wawo ulaya tanzania tunautulivu si amani hawa wengi wakitambuwa hakizawo zamsingi amani hi yakinafiki itapotea wote tunataka amani watawara msituibie kwakisingizio cha amani mtuakisema uozo wenu mnakimbilia anatakakuvuluga amani..
Hiki ndio kiswahili gani ??
- Hizi lugha za kikabila huku JF zinaashiria tu kwamba hata ELIMU ya msingi ina matatizo makubwa.Mie sielewi lakini ninaamini kuna tofauti ya kuongea na kuandika ili kuwasilisha ujumbe.Originally Posted by Mufiyakicheko
amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki wanakufa kwamalelya mlo mmoja kwasiku wanakosa elim hukuwachache wanapeleka watoto wawo ulaya tanzania tunautulivu si amani hawa wengi wakitambuwa hakizawo zamsingi amani hi yakinafiki itapotea wote tunataka amani watawara msituibie kwakisingizio cha amani mtuakisema uozo wenu mnakimbilia anatakakuvuluga amani..
Hiki ndio kiswahili gani ??
Mh! leo! kazi ipo, hapo kwenye red kaaazi kweli kweli!!!!!!!Hunaona kiwaili kilivyokigum? Yani mwenzenu kajitaidikuweka hujumbe wake nanyie mnamchola! Hinasikitisha kwakweli. At list he know kiswail a litro.