Ni rahisi sana account yako ya youtube utaiunganisha na google adsense. Then kazi yako itakuwa kupost video na kushare link ya video yako kwenye mitandao ya kijamii ili watu waingie wengi waone matangazo upate pesa

Ila ishu ya copyright ni mtihani kama unapata kipato kidogo wale wanaomiliki hizo kazi wanaweza wasiwe na shida na wewe. Ila ukianza kupata kipato kikubwa hukawii kufunguliwa kesi ya ile Tigo waliyofunguliwa na kina Mwana FA..Na unaweza ukalipa faini kubwa zaidi ya kiasi ulichoingiza. Na kitu cha pili wao You tube wanasisitiza sana uweze ku comply na mambo ya copyrights. Wenzetu wazpo sensitive sana na copyright kwa hiyo inahitaji umakini kwenye hilo...