Haizuiliki.. Ila nenda ktk settings then data usage . kuna option ya low data usage itakusaidia
Hyo ndo njia yao kupiga pesa kwa maana mb's zikienda nying wao ndo wanapiga hela,acha kulalamika kijana tafuta pesa ukiwa na pesa hata ukiweka 2000 kila ck huoni shidaHiyo haisaidii.. Mi nimesett ila bado znajiplay, sijui kwanini wamefanya hivyo, alaf insta inakula data vibaya!
Tanzania bhana..Hyo ndo njia yao kupiga pesa kwa maana mb's zikienda nying wao ndo wanapiga hela,acha kulalamika kijana tafuta pesa ukiwa na pesa hata ukiweka 2000 kila ck huoni shida
mkuu ule ni mtandao wa picha na video,hakuna namna kwamba hautatumia data sana,haiwezekani.Hiyo haisaidii.. Mi nimesett ila bado znajiplay, sijui kwanini wamefanya hivyo, alaf insta inakula data vibaya!
Dawa hapo ni kutumia instagram lite ni official na ipo playstoreWakuu habar za muda mimi ni moja ya watumiaji wa mtandao wa ista kinachonikera ni videos ku play automatically kitu kinachofanya,
Kumaliza Mb's katika kipindi kifupi tuu.
Naomba kwa anaejua kuzuia hizi video zisiwe Auto play atusaudie maana ni janga;
Nawasilisha!
Dawa hapo ni kutumia instagram lite ni official na ipo playstore
Hii haiplay automaticInstagram Lite - Apps on Google Play
Share photos, create stories and watch reels, while using less dataplay.google.com
Ikoje hiyo njia?bando linakua haliendi sana auMimi nimefuta app natumia Google Chrome
Sitaki useng3
Google Chrome ni browser km opera mini.Ikoje hiyo njia?bando linakua haliendi sana au
Ok.so data zinapungua kwa insta auGoogle Chrome ni browser km opera mini.
Huko video kuplay mpaka uamue.
Download apk yake hapaKuitapata hii mkuu unafanyaje maana is not available in our country!View attachment 1191188
Do
Download apk yake hapa
Instagram Lite APK for Android Download
Instagram Lite latest version APK download for Android. A lightweight version of Instagram for slower networks and lower-end devices.m.apkpure.com