H hope hope Senior Member Sep 25, 2016 138 74 Jul 11, 2021 #1 Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
H hope hope Senior Member Sep 25, 2016 138 74 Jul 11, 2021 Thread starter #3 Deejay nasmile said: Siri wanapost?. Click to expand... Asante
Paroco JF-Expert Member Dec 24, 2017 2,227 10,187 Jul 11, 2021 #4 Sasa jambo la siri ulipostije? Kwani humu kuna jukwaa la siri?
H hope hope Senior Member Sep 25, 2016 138 74 Jul 11, 2021 Thread starter #5 Paroco said: Sasa jambo la siri ulipostije? Kwani humu kuna jukwaa la siri? Click to expand... Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamu
Paroco said: Sasa jambo la siri ulipostije? Kwani humu kuna jukwaa la siri? Click to expand... Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamu
H hope hope Senior Member Sep 25, 2016 138 74 Jul 11, 2021 Thread starter #6 Paroco said: Sasa jambo la siri ulipostije? Kwani humu kuna jukwaa la siri? Click to expand... Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
Paroco said: Sasa jambo la siri ulipostije? Kwani humu kuna jukwaa la siri? Click to expand... Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
Mlolongo JF-Expert Member Jul 4, 2019 3,274 5,895 Jul 11, 2021 #7 hope hope said: Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY Click to expand... Hueleweki jombaa
hope hope said: Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY Click to expand... Hueleweki jombaa
H hope hope Senior Member Sep 25, 2016 138 74 Jul 12, 2021 Thread starter #10 Mlolongo said: Hueleweki jombaa Click to expand... Du aise....sijuh nmekosea wap kujieleza