Jinsi ya kuweka blog posts or wordpress posts katika static website.msaada

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
nitawezaje kuweka au create post ktk website ambayo nime idesign mwenyewe!!?
huwa natumia dreamwave au antenna kudesign websites mbalimbali...sasa nataka kudesign web ambayo itakuwa ni ya news ambayo kila mara zinatakiwa ziingie habari na taarifa mpya.
so nitafanyaje ili iwe kama blogs yaani mtu akifungua link isimuhamishe kumpeleka kwenye blog au wordpress! aendelee kuwepo humo humo.
shukrani
 
Http//en.support.wordpress.com/moving-a-blog/

More importantly, learn HTML to know the significance of things like file paths.

And your googliness is something that could never be overstated.
 
Http//en.support.wordpress.com/moving-a-blog/

More importantly, learn HTML to know the significance of things like file paths.

And your googliness is something that could never be overstated.

Thanx 4 advice
 
nimejaribu mkuu,ila sijafanikiwa bado nakutana na tutorial ngumu tu

Ingesaidia kama ungeweza kutuelimisha ugumu wa tutorial hizo umeanza wapi.

Kile kinachoonekana kigumu kwako, kinaweza kuwa rahisi sana kwa wenzako.

Kama wenzamo hapa JF tungepemda kuona ulichojaribu ni kipi, ikibidi hata kwa screenshots, ili tujue kwamba ushauri wowoye tutakaokupa haurudii kile ambacho ukikwishajaribu kabla, pengine bila mafanikio.
 
Kama umetengeneza kwa Dreamwave(html) then unataka uwe unaedit iwe kama blog haitawezekana, labda utengeneza editor yako mwenyewe ambayo itakuwa na Module ua plugins ambazo zina-intergrate na hiyo plattform ya website yako. Mfano
hao Blogger, Wordpress, Drupal, Joomla, Webs, Tumblr wote wana editor zao wenyewe ambazo wanatumia kwa plattform ya website zao. So kwa sisi wa Dreamwave lazima ufanye manual editing.
 
nahisi sijaliewa vizuri swali lako ila kama unataka kutengeneza site which means unajua lugha ya kutengenezea site hasa ambayo imekaa mtindo uliousema, kama sio hivyo nahisi utakuwa unazungumzia kitu kingine.... naomba ufafanue zaidi, kila kitu kinawezekana
 
Itabidi uedit hiyo html yako kila unapotaka kuweka kitu kipya. Au install wordpress kwenye hiyo server yako.
 
host website yako hiyo uliotengeneza dreamwaver. i hope una domain na hosting.

mfano utaihost djsmile.com

kama host provider wako anakubali auto install wordpress install wordpress katika directory hii djsmile.com/blog. hapa ina maana kila mtu akivisit url hio atakua anaingia blog.

kwenye homepage uta add link ya kuingia kwenye hio blog kwa juu kwenye header.

kama host wako hasuport auto install hizi cms utaingia file manager. kwenye root folder pale mahali ulipoieka site yako fungua folder jipya lipe jina blog halafu ndani ya lile folder kadownloas wordpress kwenye site yao kisha kainstall ndani ya hilo folder.
 

nafanyaje manual editing??? una maana niwe naedit ile html file kila ninapotaka kuweka data???
 

ahsante mkuu...sasa nikiinstall wordpress hapo si itafunguka new window? au itakuwa ndani ya hiyo hiyo page
 
ahsante mkuu...sasa nikiinstall wordpress hapo si itafunguka new window? au itakuwa ndani ya hiyo hiyo page

kufunguka new window au kufunga hapo hapo ni wewe webmaster unaeamua. by default haitafunguka new windows, ila kuna code ukieka ndio inafunguka new windows
 
kufunguka new window au kufunga hapo hapo ni wewe webmaster unaeamua. by default haitafunguka new windows, ila kuna code ukieka ndio inafunguka new windows

sawa mkuu ngoja ni install wordpress then nikifail nitarudi tena
 
Mkuu,nilikuwa nimeandika maelezo bahati mbaya network ikanizingua,baadaye jua likichomoza nitakuelezea vizuri ila ningependa kujua unaufahamu kwa kiasi gani na html,CSS,dhtml,CSS3 na php?Hivyo vitu unavyohitaji vinawezekana wala si tatizo kubwa kama walau html na CSS uko safi.
 


Mkuu ,kama walivyotangulia kusema wengine ku update utakuwa unafanya manually,unatakiwa uwe unajua html/php na ni vizuri na CSS/CSS3 kwa ajili ya kutengeneza layout zako.
Unatakiwa kwanza uwe umedesign layout yako walau hata kwenye karatasi ingawa kuna tools za kufanyia hivyo,ujue ni vitu gani utaweka kwenye hiyo website yako ya news say News,Sports,Articles etc,
Tembelea BBc news,ippmedia,Aljazeera etc jaribu kufungua any link/article kwenye address bar utaona path yake ,baadaya ya "/" ya mwisho linalofuata ni jina la web page yenye hiyo taarifa.Website nyingi za News hulink heading na page with full story au wanaweza andika habari kwa kifupi na mwishoni wanaandika something like "read more/view full story etc" haya maneno yanakuwa linked na web page with full story na ukiclick utaona kwenye address bar,panabadilika kuonyesha page mpya imeload.
Kulink website isiende nje au wordpress ni kwamba link inatakiwa iwe ni internal link,kabla sijaieleze internal nikuelezee external link.
External link ni link ambazo zitakupeleka kwenye website nyingine inaweza ikafunguka pembeni kwenye browser au ikafunguka na kuiondoa yako iliyokuwepo in this case ukitaka kurudi ulikokuwa utatumia "back" inayopatikana kwenye top left corner.
Angalia mfano huu
1. <a href="http://www.yahoo.com " title=" " target=" ">Yahoo</a>
Hii itakupeleka kwenye website ya Yahoo na itaiondoa web yako(itafunguka kwenye browser tab uliyopo) ,haitafunguka pebeni ,utatumia "back" kurudi kule kwa mwazo na imefanya hivyo kwa sababu value ya "target" ni empty i.e target=" ".

2. 2. <a href="http://www.yahoo.com " title=" " target="_blank ">Yahoo</a>
Hii itakupeleka Yahoo ila itafunguka pembeni itafungua new tab kwenye browser yako nah ii ni kwa sababu ya value ya target iko set to _blank(target="_blank"),ile ya kwanza iko empty.
Kwenye "title" utaandika chochote ambacho kitaonekana mtu akiweka "mouse over/onhover" the link.
Kwa hiyo webkukupeleka kwenye website nyingine ni issue ya link imekaaje mara nyingi hiyo link ya kwenda website nyingine ni lazima itaanza na http://.... Tofauti na internal link ambazo zitakuwani file path.Kuna njia nyingi za kuandika internal path
<a href="web/aqua/article.html" alt=" " target=" ">Web design</a>
Hiyo link juu itafungua page inayoitwa article.html ambayo iko kwenye folder linaloitwa aqua,ambalo liko kwenye folder jingine linaloitwa web.traget ni empty i.e " " hii ukiclick haitafungua new tab,itaload contents kwenye hiyo browser tab uliyopo.
Je hii <a href="web/aqua/article.html" alt=" " target="_blank ">Web design</a>
itafunguka kwenye tab uliyopo au pembeni?Itafunguka kwenye new tab kwani target umeset _blank ingawa iatakuwa na contents zako,it is your choice unataka link zibehave vipi.

Sasa kama uko vizuri CSS hasa CSS3 unaweza ukaformati vitu vayko vyote,sitaenda into details kwa mfano unaweza ukazipa rangi nyekundu lik zote zinazoenda nje ya website yako,in this case any link inayokuwa na http/https://... .Unaweza uka format first letter ya paragraph ikawa kubwa zaidi ya kawaida.Unaweza format h1,h2,h3 tags zikawa na tabia fulani.In that case popote utakapoziktumia zitaonekana kama ulivyoset kweny css file yako badala ya kuhangaika kuset "inline".They is a lot good things you can do with CSS3

Regards
Aqua
 

ahsante kwa maelezo.. Aqua
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…