Jinsi ya kuweka address ya silent ocean

Suma drago

Member
Joined
Jul 15, 2019
Posts
15
Reaction score
18
Wakuu nilikua naomba msaada JUU ya manunuzi ya mtandaoni. natamani kuwa mfanyabiashara wa vitu vya Electronic ambayo kwenye site ya alibaba vinauzwa kwa bei rafikiila changamoto huwa ni kuvisafirisha, ila nasikia kuna wasafirishaji wakitanzania ambao ndo hao silent ocean. nilijaribu kuwasiliana nao wanipe address yao ya China ikawa hatuelewani, mimi nataka address wao wananitumia picha nyenye maandishi ya Kichina, hivyo basi narudi kwenu ndugu zangu naomba msaada
 
Mtumie supplier wawko hiyo image mwambie apeleke hapo, asisahau kuandika jina l;ako, namba ya simu na contents zilizomo; kama machine aspecify power rating yake kwenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…