Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Habari za mwamko,
Mimi leo napenda kushare na ninyi kitu hiki Kutokana na dunia yetu kuwa na mabadiliko na watu sikuizi hawana huluma stress zinawapelekea kuwatendea watoto wetu mambo yasiyofaa.
Mimi huwa na kaa na watoto wa dada zangu sijabahatika bado mtoto lakini mimi huwa natenga siku kabisa narudi mapema naaza kuongea nao na wapa elimu na nini wanatakiwa kufanya kama kikitokea kitu tofauti.
Sana sana jumamosi na jumapili huwa nawata na kuanza kuimba nao kwa kuwaelezea maana ya ukatili ni nin? Na nisehemu gani mtu hatakiwi kukugusa na akikugusa unatakiwa ufanye nini?
Mara kwa mara huwa nawaambia uncle cole ukienda chooni unatakiwa kuzingatia nini? Anasema natakiwa niwe peke yangu na nihakikishe nawa vizuri mikono baada ya kutoka chooni.
Na hata nikirudi nyumbani huwa nawaita nawauliza siku yenu ilikuaje basi wanaaza kuniadhithia mwalimu kanichapa leo kwasababu nilikuwa nakimbia kwenye korido na mimi namkazia namwambia hujafanya vizuri, hata mtu shuleni kwao akiwa anatabia mbaya ananiambia.
Sasa elimu yangu imezaa matunda juzi mtoto wakati na muogesha akanimbia uncle colee dada akininogesha ananichezea hapa nikamuuliza kafanya hivyo mara ngapi akasema kila akiniogesha nikamwambia sawa nalishughulikia.
Nikaenda kwa dada wa kazi nikamuita nikamuuliza ukimwogesha mtoto huwa unamfanya nini? Akasema hapana sifanyi kitu nikamuita mtoto akaja nikamwambia tell me what dada amefanya akasema mbele yake akaaza kusema kaka samahani.
Kwahiyo nini nataka kusema jijengeeni mazoea ya kuongea na watoto wenu kila siku hatakama ukichelewa kurudi usikubali kulala bila kuangalia watoto wapoje.
Now days hata nikichelewa kurudi watoto wananingojea wanataka wanione ndio walale na leo wakati nawapeleka shule wakanionesha kijana mmoja ambae huwa anawaita waita now nisha lisove hilo.
Ukiona hiki nachokifanya kizuri fanya kwa watoto wako utakuja nipa majibu