bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
Asalam aleykum
Ndugu zangu bila shaka munaendelea vizuri.
Leo nataka kujadili jinsi ya kupambana na wapinzani. Maaana vita ni akili na uwezo ila jinsi unavyotumia akili nyingi basi utashinda bila kutumia uwezo mwingi. So leo ningependa kutoa machache katika kuwakabili kisiasa ndugu zetu wa upinzani
KEEP YOUR OPPONENTS OFF BALANCE
Don't rely on the same approaches all of the time. Instead, constantly take the opposition by surprise. Hii ni njia mojawapo ya kuwakabili pasina kutegemea kitu kimoja nikutotegemea jambo moja .kama mtawala hutakiwi kuwa na approache ya kitu kimoja kwa muda mrefu mfano wa hii strategy ni kwa JPM ni kubadilika kila mara agenda si moja tuu leo ataibua madudu ya wafanyakazi hewa kesho bandari keshokutwa mchanga wa dhahabu hi method ina faida kubwa sana mana mpinzani anakuwa hana la maana la kusema na mwishowe atakuja na hoja dhaifu. Kama tunavyojione leo hii kwa kukosa la kusema wanaforce kupata political gain kwa mambo yasiyo na tijakwa taifa mfano makonda na vyeti mara tuna raisi dikteta hii yote ni kukosa hoja zenye mashiko kitaifa. kama ambavyo mwanzo waliwika na hoja nyingi zenye mashiko (escrow,epa,richmond)etc
LEARN FROM THE PAST
If an oppossition has a history of responding in a certain manner, chances are that's how they will respond again??
Hii ni njia mojawapo ya kuthibitisha unafiki wa mpinzani wako. Ni simple rule kirudia kile alichokuwa anakikemea na nakulizungumzia. Ambacho ni hiki anachokifanya Mheshimiwa rais leo ni kuwatumbua watumishi waliokiuka misingi na uadilifu wa utumishi. Na pia kupunguza mianya ya rushwa, kuweka uwajibikaji kwa watumishi wa umma etc. Cha ajabu walewale waliokuwa wanasimama na kuyasema haya wameyapa migongo hoja hizi na kuyameza matapishi yao kwa kuwatetea hadharani na kudai raisi anawadhalilisha hao waliotumbuliwa na kudai haikupaswa iwe hivi mara raisi anakurupuka mara rais haheshimu haki za watumishi, nk. Mana mwanzo walipokuwa watumishi hawahawa wakifanya makosa serikali ya JK walikuwa wanaundiwa tume wakawa wanakuja juu kudai watajwe hadharani na kelele nyingi kwamba wanabebwa kwa kuundiwa tume leo hii mtu akifanya blunder ni red hakuna cha tume ila bado wanalaumu. Likaja la mchanga wa dhahabu kina zitto na wenzie wakaja juuuu na kuzunguka nchi nzima kuitaka serikali isiruhusu mchanga kwenda nje ila leo hiii wao ndo mstari wa mbele kutaka mchanga uende nje.
TURN NEGATIVES INTO POSITIVES
As the saying goes, when the opposition gives you lemons, make lemonade. Hii kipengele haitaji maneno mengi ni kufanya hasi kuwa chanya. Mfano mzuri ni ununuzi wa ndege .
Mwanzoni walilipinga.ohhh ATC hawana uwezo wa kuliendesha shirika ohhh hakuna ulazima kununua ndege kwa sasa ila baada ya mieze minne ATC wametoa mapato yao kwa miezi minne ya makusanyo ambayo ni kama 9bn za faida. Waliobeza jitihada hizi leo wanaona aibu .
BE WILLING TO COMPROMISE
Kusifia pali wanapojua utakemea hii imetokea karibuni kwa msanii ney wa mitego kutoa nyimbo ya kumkashifu raisi wengi wao wakaona hapo ndo pakujipatia ujiko na na ile sera yao mpya ya uhuru wa kusema badala yake raisi akausifia wimbo wenyewe na kutaka uchezwe. Na hapo pia wakatoka kapa.
Kwa kumalizia ndugu zangu tuwe na subiri hakuna maendeleo ya ghafla na kila kizuri kinahitaji muda tumuache raisi afanye kazi yakutuletea maendeleo na siasa ya majitaka tuachane nao tu discuss idea tufike tunapotaka si kuendekeza majungu
“ You will face your greatest opposition when you are closest to your biggest miracle.
Shannon L. Alder