Jinsi ya kuwa na mpenzi bora

barakachaplin

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
121
Reaction score
55
Jinsi ya kuwa na Mpenzi bora
1 lazima na ww uwe bora kwanza
2 lazima ujiheshimu ww kwanza
3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww
unalo
4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4
jua unajidanganya tafuta level yako
5 ukishindwa kabisa njoo kwangu
 
Njoo wewe kwanza.

Lazima utoe ndipo upewe.
 
Heheheeee...kwahivyo na wewe unatafuta mpenzi bora au
 
Wewe kiraza umeshakula maharage yako unakuja kujambajamba humu. unaandika pumbapumba, aliyekuambia mapenzi yana formula nani? nina watu ambao nawafahamu ambao ni mke na mume wamezidiana elimu kipato na hata family status, na mapenzi yao yanaendelea kudumu,

Kwa taarifa yako tu ulikuwa hujui wapenzi ambao wanaendana kila kitu huwa hawadumu, ili penzi lidumu inabidi wapenzi wategemeane kimaisha, alichonacho mke mume asiwenacho, na alichonacho mume mke asiwenacho, LOVE IS UNIVERSAL.
 
Bora kidato cha 6 muende jkt mkajifunze maisha na jf tutapumua
 
Mpenzi bora kapitwa na wakati. Siku hizi ni bora mpenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…