Jinsi ya kuuza na kununua Bidhaa Bure

Jinsi ya kuuza na kununua Bidhaa Bure

issam

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
250
Reaction score
23
dadvertise.png

Hellow wadau, Katika pita pita zangu nimekumbana na huu mtandao mpya kabisa yaani ndio umeanza leo wa kuuza na kununua bidhaa, Ingia hapa uanze kuuza na kununua vitu mbali mbali. tupost tangazo ni bure kabisa wahi leo. dalali.net Bofya Neno Dalali.net
 
kambale wazima wa kifugwa ambao chakula chao ni dagaa naweza kuuza huko
 
Back
Top Bottom