Hii kitu ipo vizuri ila kasoro iliyopo ni kuruhusu kupigana chabo kiaina. Just imagine wife kaiscan whatsapp yangu kwenye laptop yake bila mimi kujua so atakuwa anachabo kila kinachoingia na ninachotuma kwenye whatsapp, kama nikielewana na mchepuko tukutane mahala mh.
Fumanizi hiloo.