Kaka mie,nna nokia xl na ninatumia whats app bila matatizo,
Google jinsi ya kuweka whats app,
Utapewa link za kudown load apk file ya whats app install,kisha fungua ,itakataa kufanya kazi,delete,then down load whats app plus apk file,install,open,endelea kuburudika na whats.muhimu kumbuka kuallow simu yako kupokea apps nje ya nokia store.