Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
[emoji3][emoji3][emoji3]Chota vijiko viwili, changanya na maji nusu kikombe, chemsha kwa dakika 15, apo ni tayar kwa kutumia, fanya ivo kila siku asubuhi
Chota vijiko viwili, changanya na maji nusu kikombe, chemsha kwa dakika 15, apo ni tayar kwa kunywa, fanya ivo kila siku asubuhi
Chota vijiko viwili, changanya na maji nusu kikombe, chemsha kwa dakika 15, apo ni tayar kwa kunywa, fanya ivo kila siku asubuhi
Mkuu taptalk kitaalamu zaidi hii inahusiana na gusa kwa kuongea,ibofye itaongea ndipo uiulize jf inakaa box lipi itakupa siti na utaenjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...Daah! Aisee mkuu si nitaharisha sanaa!
Acha utani bhana nipo serious mkuu nahitakujuzwa kama unajua nipe maelekezo
Sawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...
Karibu mkuu ni shilingi 50000 tu epuka matapeli.. Kwa maelezo zaid njoo pm
WoyoooooooooSawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...
Karibu mkuu ni shilingi 50000 tu epuka matapeli.. Kwa maelezo zaid njoo pm
Ingia play store kisha download, ukisha download search Forums "JamiiForums" ikija Fanya ku-FOLLOW kisha ingiza User name yako pamoja na Password unayotumia ku log in JF. Then you're doneWAKUU mambo vp?
I hope mko pow?
Mm nilikuwa naomba kujuzwa jinsi yakutumia Tapatalk app maana hii app ya JF inazinguwa
R.I.P Kibonde
Sawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...
Karibu mkuu ni shilingi 50000 tu epuka matapeli.. Kwa maelezo zaid njoo pm
Mkuu, Ruge alisema tutumie fursaElf 50...halaf ww ndio unaita wenzio matapeli [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah! Mkuu asantee nimefanikiwaIngia play store kisha download, ukisha download search Forums "JamiiForums" ikija Fanya ku-FOLLOW kisha ingiza User name yako pamoja na Password unayotumia ku log in JF. Then you're done
Sent from my iPhone using Tapatalk
HahaChota vijiko viwili, changanya na maji nusu kikombe, chemsha kwa dakika 15, apo ni tayar kwa kunywa, fanya ivo kila siku asubuhi