Jinsi ya kufanya.
Nenda kwenye "settings" kisha changua "more" halafu click "tethering wifi hot spot" iweke "on" wakati huo laptop yako iwe on pia na iwe na uwezo wa wifi, subira kwa muda wa dakika moja ili laptop iione na kuitambua simu yako kisha select hiyo connection ya simu then command "connect" hapo itakuomba "key/password" ambazo unazipata kwenye simu yako, nenda kwenye wifi configurations au settings kisha utaona neno "password" ila mara nyingi haziko wazi, yaan hazisomeki sasa ili uzisome nenda chini kidogo utaona neno "show password" basi click hapo then password itasomeka, chukua hiyo password i type kwenye laptop pale palipoandikwa "key", basi mchezo kwishney....enjoy!
Na hii munaweza kutumia mpaka watu au komputa nane kwa mpigo na umbali wa kuzunguka chumba cha kawaida.
Kuzima unaweka wifi hotspot "off"