Jinsi ya kutumia modem ya d link

Jinsi ya kutumia modem ya d link

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Naomba kupata msaada namna ya kuweka setting za zantel au voda kwenye modem ya d link ambayo inatumia line yeyote
 
Mkùu hii post ungeipeleka jukwaa la tech ingekuwa rahisi kupata ufumbuzi
 
kwani Hili Ni Jukwaa Ganiiiii????

yani mkuu ukiona hivyo ujue hio post haikupostiwa hapa then moderator wa hilo jukwaa alivoona akaihamishia hapa huyo jamaa akiwa amesha reply.

Possibly huyo mtu ulomjibu hata huku hafiki
 
Wakuu naombeni jibu. Hapa natumia ka nokia 2626 kascreen kaduuuchu tabu tupu
 
Back
Top Bottom