Shukrani sana mkuu Chief-Mkwawa we ni mmoja mtu mwenye msaada sana kwenye Jukwaa hili Mungu akubariki.
Any way, kama nikinunua hiyo Adapter ya hdmi kuna sababu ya kuConnect Wireless au ni Adapter peke ake inatosha. Maana TV yangu ni Samsung Flat nimeangalia haina Wireless wala Bluetooth mkuu.
zipo adapter za aina mbili
-za waya kwenda waya, yaani itaconvert toka hdmi hadi usb waya utoke kwenye simu hadi tv
-za waya kwenda wireless, hii itatoa toka hdmi kwenda wireless display utaweza connect simu na tv bila kutumia waya
Mkuu unaweza fafanua kidogo hapo kwenye point yako ya pili.
Ahsante.
kinakuwa ni kitu kama hiki, mfano wa modem kinaingia kwenye hdmi port ya tv halafu kinaipa tv yako uwezo wa miracast (simu za android na windows phone), DNLA (kwenye iphone) nk. ili uweze kuona kwenye tv content za simu yako
Chief-Mkwawa hicho kifaa dukani shilingi ngapi .hapo dar kinapatikana maduka gani?

40,000 unakipata na duka ni kariakoo mtaa wa swahili na mkunguni kama unaenda bakhresa mpya kushoto kuna duka la simu zilikuwepo