Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Habari za Hapa Wana Tech,
Kuna kaProject kangu najaribu kukafanya, lakini nimefikia mahali nimekwama. Natengeneza webservice ambayo itakuwa ina-access na DataBase, sasa mwanzo nilizani mechanism yote ya Ku-connect na dataBase inaishia kwenye program yangu, badala yake nakuja kukutana na Maconnection pool na data resourses.
Sasa huku kote sina tatizo, shida yangu ni kutaka kujua, naongeza nini kwenye webservice programm yangu ili iweze kutumia resource niliyotengeneza kwenye glassFish.
Yaani nitawezaje kutumia resource niliyotengeneza kwenye GlassFish kwenye Webservice yangu. Nimehangaika sanaaaa bila dalili za mafanikio.
Nimesha program webservice yangu ipo kwenye Eclipse, tatizo nikiideploy kwenye Glassfish server haitaconnect na DataBase kwasababu hakuna code yoyote inayoleta uhusiano kati ya webservice na Resource ya DataBase kwenye GlassFish.
Lugha ninayotumia ni JAVA. Naomba msaada nimalizie haka kaproject tafadhari.
CC: Stefano Mtangoo, Nyasiro, Chief-Mkwawa, njunwa wamavoko