Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa

Nitaka nitumai nipate kazi, nyota yangu ni mizani, nifanye vipi hii spell ili nifanikiwe mkuu Rakims
 
Kuna mkurugenzi huku ananisumbua sana hata nihame kutoka kwenye halmashauri yake niende zangu mkoani maana huu ni mwaka wa 4 bila mafanikio, vip hapo nifanyeje ndugu Rakims, msaada tafadhali
Mkuu sijaelewa unachohitaji

Rakims
 
Nitaka nitumai nipate kazi, nyota yangu ni mizani, nifanye vipi hii spell ili nifanikiwe mkuu Rakims
Subiri siku ya ijumaa saa nne kasoro hadi kwenye saa nne na robo asubuhi huku unachoma udi na ubani mashtaka unataka mara 7 unatia nia 7 mara 7 uelekeo uwe ni mashariki

Rakims
 
Subiri siku ya ijumaa saa nne kasoro hadi kwenye saa nne na robo asubuhi huku unachoma udi na ubani mashtaka unataka mara 7 unatia nia 7 mara 7 uelekeo uwe ni mashariki

Rakims
Ubani mashtak kuupata ndo kazi mkuu
7 mara 7 kwa siku moja hiy hiy??
 
Ubani mashtak kuupata ndo kazi mkuu
7 mara 7 kwa siku moja hiy hiy??
Ubani mashtaka upo maduka ya madawa ya kissuna, ndio siku hiyo hiyo ukiona zimeisha siku 7 majibu hakuna rudia tena ijumaa nyingine

Rakims
 
Mkuu sijaelewa unachohitaji

Rakims
Nataka Mkurugenzi/ muajiri wangu aniachie nihame maana yake niruhusiwe kuhamia sehemu nyingine ninayotaka kwenda maana amekuwa na roho ngumu kama Farao anakataa kupitisha barua zangu ili nihame
 
Nataka Mkurugenzi/ muajiri wangu aniachie nihame maana yake niruhusiwe kuhamia sehemu nyingine ninayotaka kwenda maana amekuwa na roho ngumu kama Farao anakataa kupitisha barua zangu ili nihame
Siku ya alhamisi saa 12 45 asubuhi uelekee kusini magharibi useme mara 100 huku unachoma udi na kafur zikiwa zimechanganyika

Rakims
 
WISH FULFILL WITHIN AN HOUR

View attachment 809837

Je ulishawahi kutamani jambo litokee kwa haraka na urahisi zaidi na likashindikana?

Hii hapa njia rahisi ya kutimiziwajamb unalotaka kwa muda mfupi.

Jinsi ya kufanya:
Kaa faragha asikuone mtu ukiwa peke yako na ufanye meditation ya dakika 3 hadi utulize mawazo yote,
baada ya hapo anza kusema maneno haya mara 7 kwa kunong'ona:


"YUZI RASI MIN SARI SASI"


View attachment 809841





Hakikisha umeyahifadhi kichwani na uyatamke bila kusita wala kukwama hakika haitachukua muda utaona ajabu,


View attachment 809844

KUMBUKA:
si kila wish unaweza ku wish kwa idadi ya 7 inategemea na wish yenyewe

TAHADHARI:
Kumbuka hii ni chanting hivyo usifanye mchezo na chanting ni sawa na kuweka au kuswitch button ya kuwashia taa hakikisha unachowasha ni taa na haujashika waya uliouchi halafu ukawasha taa,
the result will be worst, so unless you have something to wish wish it careful na si ku wish randomly sh*t comes on your head


View attachment 809840


Kama wewe nni mtu wa kujaribu jaribu hovyo jus make a wish in dream world cause kwa sababu huko ndio hutapata effect in real life.




View attachment 809843
Rakims

Sa ukikosea sijui nini kitatokea, nawaza kimyakimya
 
Nifanyeje ili nyota yangu in'gae. Mm ni mwezi wa kumi 31. Huu ni mwaka wa tatu Sina kazi ya huhakika Mason man.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom