Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye namba yako na hakikisha ume confirm kwa kuopen hiyo link waliyokutumia hapo ndipo utaweza kuenjoy hizo unlimited free sms.
Note: hiyo huduma inaitaji internet connection
Ok kwa wale itakawo wagomea. Mara nyingi cmu znazotumia java jad file zina end up kugoma kama kwangu nokia n72.hii ya ukweli,ila mbona nikijaribu kuinstall inagoma? Inasema file corrupted. Nifanyeje?
Wabongo kwa kupenda vya bure.kumbe sio bure sasa wanakukata kwenye internet services kama kawaida..
Ok kwa wale itakawo wagomea. Mara nyingi cmu znazotumia java jad file zina end up kugoma kama kwangu nokia n72.
Idownload kutoka apa hii ni jar file itadownload na kuinstall bila tatizo:
wfs04.wapka.mobi/download-870313-dc3deeea5bb59f665849/JaxtrSMS%28masudr.wapka.mobi%29%20.jar
yani mkuu download iyo kitu kupitia iyo link apo juuAha! Mimi pia natumia nokia n72,kwa hiyo ili niweze kuinstall nahtaji kudownload java kwanza. Ila bado cjaelewa jinsi ya kuipata. Msaada zaidi tafadhali.
Hzo fix 2 wameni2mia txt yao flan ya kuconfirm,bt nimejarbu ku2ma txt kwa mtu,wamenikata gharama zle zle,yani tsh 49.50..
yani mkuu download iyo kitu kupitia iyo link apo juu
haitaleta error kama ilikuletea error katika link ya mwanzisha thread.
Unajua tatzo ni nini? Hyo link haifunguki kwenye cmu yangu. Nikishusha cursor kwenye hyo link haifunguki,wala haiwi hilighted. Alafu istoshe sina java kwenye simu yangu ndo maana nikasema unieleweshe jinsi ya kuipata,labda ndo maana inakataa kuihilight...
OK mkuu nimeiweka link vizuri sasa tatizo sio java ipo mimi niliweka link vibaya idownload moja kwa moja HAPA kama ikigoma iyo idownload mediafire HAPA just ikishafunguka click download.Unajua tatzo ni nini? Hyo link haifunguki kwenye cmu yangu. Nikishusha cursor kwenye hyo link haifunguki,wala haiwi hilighted. Alafu istoshe sina java kwenye simu yangu ndo maana nikasema unieleweshe jinsi ya kuipata,labda ndo maana inakataa kuihilight...
Mimi hata sikumbuki kwa mara ya mwisho nilituma sms lini!
Mi naona unafuu hapa sio gharama bali ni portability ya simu badala ya PC.
Otherwise, mwingine angeprefer kutumia Skype maana si mtu lazima awe na internet connection?
Bure iko wapi sasa hapo?