Jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Hili pia ni tatizo kubwa unajikuta bora ununue mpya tu
Basi jaribu kuhangaika polisi au uulizie kampuni uliyokuwa unatumia line yao. Tatizo linakuja kuwa unakuta unatoa fedha za hapa na pale kiasi ambacho unaweza kununua simu nyingine!
 
Aisee.
 
Kuna vtu vya muhim sana katka simu hyo niliyoibiwa,Ambapo hata nikinunua smu mpya siwez nikapata hvyo vtu

Kama ulijisajili na account ya samsung ya find my mobile ni vyepesi sana kujua ilipo na kuipata, tana unakua na uwezo wa kuifanya chochote ikiwa huko huko kwa huyo mwizi na inakuonyesha mpaka alipo

Kama hukujisajili kuipata kwa imei ni ngumu
 
Kama una smartphone (android ) install app "find device) simu yako ikipotea unaweza login kwenye computer ukai-track kama mhusika akiwasha location on unaona eneo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…