Jinsi ya kutoa Winral Password

Jinsi ya kutoa Winral Password

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
805
Reaction score
1,308
Habari za muda huu, naitaji msaada kwa anayefahamu jinsi ya kutoa rar pasword, nilidownload mtk file kwa aili ya ku flash simu lakn imekuja na password, Msaada tafadhali..
mtk.PNG
 
Hauwezi kutoa, nenda huko ulipoidownload angalia kama wameandika password.
 
Sawa mkuu, inamaana hakuna hata software ya kutoa
Hapana, kuna software za kuotea password lakini ni useless unless password ni fupi na simple sana.
 
Hapana, kuna software za kuotea password lakini ni useless unless password ni fupi na simple sana.
Nimeamua ku download nyingine mkuu maana nimejaribu kila njia nimeshindwa, shukrani.
 
sasa we jamaa hadi unahangaika na kutaka kucrack password mbona hizo files za itel S31 ziko nyingi mno na ni for free??
 
Back
Top Bottom