Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
duh hivi vidonda vinaletaga hadi homa. si mchezo
Machungwa ndio yenyewe kwa vidonda vya ulimi ukiwa navyo unakuwa na upungufu wa Vitamini C na machungwa yana Vitamini C kwa wingi sio tu ule Machungwa wakati una vidonda vya ulimi unatakiwa kila wakati uwe unakula Machungwa na matunda mengine kwa afya yako.Mimi huwa nakula machungwa kwa wingi mara tu nipatapo vidonda vya ulimi na baada ya siku kama 3 hadi 4 huwa napona, vipi nayo ni tiba sahihi?
Machungwa ndio yenyewe kwa vidonda vya ulimi ukiwa navyo unakuwa na upungufu wa Vitamini C na machungwa yana Vitamini C kwa wingi sio tu ule Machungwa wakati una vidonda vya ulimi unatakiwa kila wakati uwe unakula Machungwa na matunda mengine kwa afya yako.
Ahsante sana DoctorMachungwa ndio yenyewe kwa vidonda vya ulimi ukiwa navyo unakuwa na upungufu wa Vitamini C na machungwa yana Vitamini C kwa wingi sio tu ule Machungwa wakati una vidonda vya ulimi unatakiwa kila wakati uwe unakula Machungwa na matunda mengine kwa afya yako.
Uko sahihi kabisa.Mimi huwa nakula machungwa kwa wingi mara tu nipatapo vidonda vya ulimi na baada ya siku kama 3 hadi 4 huwa napona, vipi nayo ni tiba sahihi?