meralyussufmeral
Member
- Apr 8, 2012
- 29
- 0
Zoezi ilo litakuwa rahisi tu kaka na inawezekana chakufanya unatakiwa kudownload software inayoitwa universal usb installer. Kupotia software hi utaweza kufanikisha hilo zoezi hilo. Kama hautafanikiwa kuipata uni PM niweze kukutumia hiyo software ina takribani 2mb..
pls naomba na mie unitumie hiyo software nataka kutia window 7 kwenye pc yangu
nenda google, search "yumi" then download
Hiyo yumi unitiaje kwenye pc wakati haina windows au iliyopo imecorrupt?
Tupe style of utiaji wake
wakuu nimekuja tena hivi multi boot usb na yumi zote zinafanya kazi moja ama katika hiyo process unayotaka kuifanya nilazima uzifanye kwa kutumia zote mbili ?????????/