Jinsi ya kutengeneza Windows image

Mtu anae jua kuunda Windows image na kama kuna software ya kutengenezea mniambie nitashkuru
Hiyo image yako unataka iwe na extension gani? Kama ni ISO extension na una file zake unaweza kutafuta software yoyote yenye uwezo wa kutengeneza ISO kama vile PowerISO
 
Sasa mkuu nikiwa na download power iso zinahitaji registration nikiwa sina haziwezi kuperform kama kuna njia zaidi nisaidie
 
mbona windows by default inakuwa mfumo wa image? umeipata wapi hio windows ambayo sio image
 
Ahsante kaka iko poa je naweza pata Windows 8 na Windows 10 activator universally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ