Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia Simu

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Karibu kwenye Maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza website ya muziki bure kwa kutumia smartphone yako. Njia hii ni nzuri sana na itakusaidia kumiliki website bila kutumia gharama yoyote, kumbuka hii ni awamu ya kwanza ya video hii ili kujua zaidi hakikisha una subscribe nitaenda kuonyesha jinsi ya kuweka tovuti hii kwenye Google pamoja na kuweka Matangazo.

Tovuti hii inaweza kutafuta nyimbo yenyewe kupitia mtandao na huna haja ya kuweka nyimbo ya aina yoyote. Pia haitumi database hivyo usiwe na wasiwasi kwani pia tovuti hii haifadhi chochote kwenye server za aina yoyote.

Mkuu mi nataka kuwa na entertainment website ya kulipia sio ya bure,itakayokuwa na nyimbo nitakazozidownload mimi mwenyewe ili watakaoitembelea waweze kuzidownload,nijiandae kwa shilingi ngapi?
Nalog off
 
Inategemeana na aina na muundo wa website ila pia unaweza kuanza kwa gharama ndogo kama Tsh 35 hivi za domain na hosti kwa mwaka mzima. Mengine tutakusaidia
 
Free hosting ni shida mkuu baada ya muda utaambia website haipatikani Mimi nimetengeneza nyingi sana lakini baada muda zmezingua.
Ni kweli, ila hizo ni bora kama unataka kuanza au unataka kufanya majaribio fulani, kabla ya kuamua kuwekeza kwa asilimia 100.
 
Karibu kwenye Maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza website ya muziki bure kwa kutumia smartphone yako. Njia hii ni nzuri sana na itakusaidia kumiliki website bila kutumia gharama yoyote, kumbuka hii ni awamu ya kwanza ya video hii ili kujua zaidi hakikisha una subscribe nitaenda kuonyesha jinsi ya kuweka tovuti hii kwenye Google pamoja na kuweka Matangazo.

Tovuti hii inaweza kutafuta nyimbo yenyewe kupitia mtandao na huna haja ya kuweka nyimbo ya aina yoyote. Pia haitumi database hivyo usiwe na wasiwasi kwani pia tovuti hii haifadhi chochote kwenye server za aina yoyote.

LINK MAALUM

1. Download File la MUZIKI Hapa

2. Tovuti ya Infinityfree Hapa

3. Tembelea tovuti ya Google kupata YouTube API

4. Website Niliyotengeneza kwa kutumia Njia hii
Hizo website kama hiyo uliyotengeneza,,inawezaje kukuingizia pesa? Maana nyimbo nadownload bure.
 
Nadhani website kama hizi ndio zinaongoza kwa kuingiza pesa kuliko hata website za kawaida.. Inashangaza lakini ni kweli
 
Website ya biashara je...???

Hivi mkuu, baada ya kutengeneza hii website, ile sehemu ya kudownload wimbo, lile tangazo linalo popup nilakwako uliloliingiza kupitia hizo code za file la MZIKI.zip au tangazo linakuwa limewekwa na ezipy
 
Hap

Hapana ni zile API za kudownload nyimbo nadhani zinaitwa https://y-api.org/
 
Nadhani website kama hizi ndio zinaongoza kwa kuingiza pesa kuliko hata website za kawaida.. Inashangaza lakini ni kweli
Pesa hapa unaipata kwa jinsi gani? au naweza kulipwa vipi? Gusia tu hata kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom