Jinsi ya kutengeneza paypal acount

Jmn naomba ushauri nataka kufanya malipo kwa njia ya mtandao je naomba kuuliza wadau ni benki gani ipo vizuri na acount ipi niwe nayo kati ya tsh au ya Dola na nitumie campuni gani kwa usafirishaji wa mzigo ex. Laptop nikinunua kutoka marekani naombeni mawazo yenu wakuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…