Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

Mm huwa natengeza mixer ya limao maji na sukari. Inakuwa kama bitter lemon inafaa kunywa kama juisi au kumix na vitu vizito, huna haja ya soda.
 
Kwa mtu kama Mad Max unamwongezea na rum 🔥 View attachment 2908014
Last weekend nilioverdose SIB.

Niliomba kukuche aisee.. Kitanda kilikua kinapinduka, nikalala chini ardhi inageuka, nikaenda bafuni nikafungua maji yakawa yananimwagikia.. Nikachukua ndoo nikaigeuza nikakalia uku shower inanimwagikia, nikasinzia..

Oya..

Asubuhi nakuta nimetuma msg kwa watu kibao kwamba nakufa, nishaacha hadi urithi wa makochi,, oya..

Nilichobugi sema nikijua.. Bia mbili za mwisho niligida fasta fasta coz nilikua ndio tunasepa,, hafu fasta nikafikia kulala.... Kumbe inabidi tokea kast beer uinywe atleast acha 1 hour ndio ukalale . Na sikua na Fanta orange ya kupooza rejeta..

Next week am back with Smirnoff Ice Black babe
 
Una kiwanja chako 20 kwa 20 Mbinguni.
 
Pole sana 😂😂😂🙌 next time ukilewa usishike simu. Utakuja kuahidi watu mamilioni ujue!

Sijawahi kulewa. Hahaa nakunywaga km sinywi afu kumbe ndo nakunywa. So sjui mtu akilewa sana anakuwaje kuwaje anavyojisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…