Jinsi ya kutengeneza bootable flash bila kutumia software yoyote

Jinsi ya kutengeneza bootable flash bila kutumia software yoyote

Usikariri mkuu.. hp, Dell, Lenovo, Acer na brand zingine zina different bootable key.. wengine f2, wengine f9 wengine f12 and the likes..
Lenovo wana FN + F12 pia mkuu, usikalili.
 
Njia zote cha muhm format device yako kwa format ya NTFS

Sent using Jamii Forums mobile app
1 - Unapotumia NTFS ni kwaajili ya kupata options nyingi kwenye flash mana unaweza fanya compression ya mafile vizuri tu ukiwa katika hiyo New file system.
2 - Flash/drive huwa zinakuja ktk FAT/FAT32, kwahiyo ukiwakalilisha watu kutumia format ya NTFS kwenye option ya kuformat wengine watakutana na error, mana sio zote zinakubali kwenda NTSF ktk DOS command.
3 - Ukitumia command hii "format fs=fat32" guarantee ni flash zote zitakubali, na pia flash yako itakuwa bootable, hivyo basi hata kama we ni mtumiaji wa DVD kupitia hiyo flash drive, ukiiformat tena utaendelea kuitumia flash yako vizuri tu kwenye DVD, RADIO n.k ilihali flash bado ni bootable ktk FAT32.
 
Mimi naomba kujuzwa jinsi nitaona vitu vyangu nilivyohifadh katika flash,mana ghafla sivioni,na capacity ni 32Gb,free space unasoma 16Gb,
Msaada tafadhal nafanyaje kuweza kuona vitu vyangu?

thA God thA bubbs!!

apo piga ramli tuu
 
Back
Top Bottom