Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

Hahahah aisee wewe mchoyo hadi kwapani.

Kuna wengine walikua wakinunua tu wanaitemea sasa wale makauzu wanasema wee nipe hivyo hivyo
zangu hizo! mwenzio akwambia nmeitia mate ili usimuombe still nataka ivoivo! dah
 
mkuu umeongelea vyote viwili barafu na ice cream au maana nijuavyo maziwa hutumika kwenye ice cream au inakuwaje hii
 
Nimeongelea barafu za kawaida.

Kuna maeneo ukienda ukaulizia barafu wanakupa yale mabonge ya barafu,ila ukiulizia ice cream wanakupa hizi za kula. Ukitaka za maziwa wanaita koni(corne)

thanks sana mkuu ni biashara ndogo ndogo za kujiongeza nina work mate watu anauza kwa siku zaidi ya 200 hiyo home kwake watanzania tuamke tusidharau biashara kuingiza elfu ishirini kwa siku ni kubwa tena ukiwa umetulia home kwako
 
Kweli kila biashara inalipa cha msingi ni kutumia akili na mahesabu ya faida na hasara.
thanks sana mkuu ni biashara ndogo ndogo za kujiongeza nina work mate watu anauza kwa siku zaidi ya 200 hiyo home kwake watanzania tuamke tusidharau biashara kuingiza elfu ishirini kwa siku ni kubwa tena ukiwa umetulia home kwako
 
Baada ya ice cream hizo kuna hii nyingine.
Kwenye friji kuna zile set za kugandishia vipande vya barafu, sasa kwa mchanganyiko kama huo unamimina kwenye zile set unaweka na vile vijiko kama vya kulia ice cream za azam then gandisha
 
Hizo tunaita barafu za mti
Baada ya ice cream hizo kuna hii nyingine.
Kwenye friji kuna zile set za kugandishia vipande vya barafu, sasa kwa mchanganyiko kama huo unamimina kwenye zile set unaweka na vile vijiko kama vya kulia ice cream za azam then gandisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…