Jinsi ya kutafuta thread au post ya zamani

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Ndugu wana jf.naomba kufahamishwa jinsi ya kuusaka uzi au post ya zamani,lets say 2010.kuchekana iwe 0%tafadhali.kwani elimu haina mwisho
 
Ndugu wana jf.naomba kufahamishwa jinsi ya kuusaka uzi au post ya zamani,lets say 2010.kuchekana iwe 0%tafadhali.kwani elimu haina mwisho
 
Njia nyingi ni kwenda search engine ya GOOGLE andika site:jamiiforums.com ........ kwenye dots hapo andika key words za bandiko unalotafuta.

Kwangu mimi hiyo ndio bora.
 
Back
Top Bottom