Jinsi ya kushauri mabinti wasishiriki ngono

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,584
48,743
Kuna msemo unaosema ''maji yakizoleka hayamwagiki''! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late. Sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo. Natamani wanielewe wasikubali kugegedwa, natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.

Je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? Kuna kabinti kapo UD ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza. Roho imeniuma kidogo nife maana mtoto mwenyewe sasa. Basi tu.
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki!mimi ni muhanga wa hyo methali .huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule.ila ni too late.
sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo.natamani wanielewe wasikubali kugegedwa .natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.
je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? kuna kabint kapo ud ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza.roho imeniuma kidogo nife . maana mtoto mwenyewe sasa ???? basi tu.
msemo mpya nini mkuu..
 
suala kama hilo ni la mtu kujua uthamani wake ukishajua uthamani wako wala hutokubali kuvua vua nguo ovyo kwa mwanaume etii kisa na wewe uonekane upo mabinti wengi hawajui uthamani wao wewe hapo umeshajua ndio maana unatamani usingefanya hivyo japo ndio hivyo muda nao haukuwa rafiki ila nawashauri mabinti kumvulia mwanaume nguo sio ndio yy mwanaume kukupenda ww huko ni kujidhalilisha ifike mahali na sisi tuwe na misimamo yetu hakuna hakuna .
 
hua na wao wana nyege atii<<<kheeeee,,,acha wajinafasi
 
umenikumbusha hapa shuleni ninapofundisha, yaani pamoja na beat zote tunazowapiga lakini unashangaa baada ya muda mfupi kabinti kanaanza kukuchekea chekea.
Sasa mkuu,unatumia mbinu kuwapunguzia huo ugonjwa wa kuwashaeasha?,bakora sidhani kama zitaondoa tatizo hilo,
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki!mimi ni muhanga wa hyo methali .huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule.ila ni too late.
sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo.natamani wanielewe wasikubali kugegedwa .natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.
je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? kuna kabint kapo ud ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza.roho imeniuma kidogo nife . maana mtoto mwenyewe sasa ???? basi tu.

Kwa maana hiyo wewe hapo ulipo hupendi tena mgegedo kwa kuwa ulianza mapema?
 
tatizo unataka kushindana na nature nawakati huwezi waache tuwale tu..
hamu hupunguzwa na hamu dawa ya moto ni moto:D
 
Back
Top Bottom