UNAWASHA HOT SPOT KAMA HIYO SIMU INA UWEZO KISHA SIMU INAYOPOKEA INTERNET UNAWASHA WIFI...BADA YA KUWASHA WIFI ITAJICONECT YENYEWE...KAMA KUNA NAMBA ZA SIRI UNATAKIWA UZITAFUTE KWENYE HIYO SIMU YENYE KUTOA HOT SPOT....AMBAYO MARA NYINGI NAMBA ZA SIRI UNAWEZA KUZIPATA KWENYE SETTING INGIA KWENYE MORE KISHA CHAGUA TEGETHERING & HOTSPOT.... UKIENDELEA MBELE UTAKUTANA NA SETTING ZA PASWORD UTAANGALIA KISHA UTAENDA KUZIANDIKA KWENYE SIMU INAYOHITAJI KUPOKEA INTERNET.
bonyeza hotspot kwenye simu yenye MB,halafu uwashe Wifi kwenye simu unayotaka share nayo.
Baada ya kuwasha wifi ita scan utaona jina la simu yenye data click hapo Ku connect.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.